10 January, 2016

Kanye West azungumzia Kumtaja LeBron James kwenye ngoma yake ya “Facts”

Kanye-LeBron Kwa mara nyingine tena Kanye West amejikuta katika mkanganyiko pale alipoachia ngoma yake ya “Facts.” Mbali na Rapper huyo kuwakashifu kampuni ya Nike, Baadhi ya wasikilizaji wanaamin kua the G.O.O.D. Music founder alikua akimdiss basketball star LeBron James kwenye Track hiyo.
 The record features Kanye rapping, “Nike treating employees just like slaves. Gave LeBron a billie [billion dollars] not to run away.”
   Nike walimsainisha LeBron James mkataba ambao unaaminika kuwa na thamani zaidi ya $500 million. he 4-time NBA MVP commented about Kanye’s “Facts” in a recent interview saying, “It’s just, it’s family when you talk about Nike, and I’m always on their side no matter what the situation is.”
  Kanye nae kaamua kujibu juu ya  diss hilo na kuamua kutweet
             

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...