Biashara ya kutoa burudani kwenye ulimwengu ni kazi yenye vishawishi
vingi mno kiasi cha kwamba kama mastaa wapo kimapenzi nivigumu gudumu
katika penzi lao. Nawanapo achana na walikuwa wana watoto basi wanawake
lazima waanzishe maisha yao mengine upya wakiwa na mtoto au watoto wao
Kwavile wavulana wengi hawapendi kuwa kwenye mahusiano na mwanamke
ambaye tayari ana mtoto kutokana na labda kupoteza mvuto na au muonekano
kama wanavyo onekana kwenye mitandao ya kijamii, Lakini baadhi ya
mastaa ulimwenguni wamefanikiwa kuonyesha kuwa unaweza ku zaa na kuwa na
mtoto wako huku mvuto wa kimapenzi ukabaki pale pale.
Hii ni list tu niliyo iona ina warembo lakini walikuwa kwenye mapenzi na kupata mtoto kabla ya kuachana.
Amber Rose.
Amber Rose alipata mtoto wake
Sebastian Taylor Thomaz kutoka kwa aliyekuwa mume wake
Wiz Khalifa. Waliachana mwaka mmoja baada ya kupata mtoto huyo lakini bado anauwezo wa kumiliki mtoto wake na kumlea vyema.
Draya Michele
'
Reality TV Staar'
Draya Michele ambaye amepata lawama nyingi sana kwenye mitandao kuwa haangaiki kumjali mtoto wake.
Jennifer Lopez.
Turejee 2008,
J-Lo alipata mapacha kutoka kwa mwanamuziki
Marc Anthony. Anamiaka 45 na bado anaonekana mrembo kama miaka 20 iliyo pita.
Blac Chyna
Mwaka mmoja baada ya kukutana na
Tyga,
Blac Chyna alizaa mtoto
King Cairo. Najapokuwa kwasasa yupo
single, Kwenye
Instagram anaonyesha umbolake zuri lilivyo.
Lauren London
Lauren London alizaa mtoto wakiume 2009. Mtoto huyo alizaliwa miezi michache baada ya kuachana na
Lil Wayne. Alikuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu na rapper wa
New Orleans.
Christina Milian
Christina Milian ana binti anayeitwa
Violet aliye zaa na
The-Dream. Ameachana na muimbaji huyo wa Rn'B miezi michache iliyo pita.
Ciara
Miezi michache tu baada ya kuzaa mtoto wake wa kiume,
Ciara alikuwa '
Single Mother. Akafanya juu chini ili kurudisha hali yake kwa kuangusha kilo 27 kutoka kwenye mwili wake.
No comments:
Post a Comment