Tetesi za kuwa rapper Drake na mcheza tenisi Serena williams ni wapenzi zinaweza zikawa zimethibitishwa na hizi picha zinazowaonesha pamoja wakishikana na kupiga busu.
Picha hiziz zilipigwa kwenye mgahawa mmoja huko huko Cincinnati, Marekani.


KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...
No comments:
Post a Comment