Msanii wa Hip Hop anaye vuma kwa sasa Young Thug jana alitangaza kusogeza mbele tarehe ya uzinduzi wa Album yake mpya Slim Season,
lakini habari nzuri kwako mtu wangu ni kwamba Young Thung ameamua
atusogezee masikioni mwetu ngoma tatu mpya huku tukiwa tunaendelea
kusubiria album yake ikamilike.
Nyimbo zinaitwa Calling Your Name, First Up na Like. Nimekusogezea ngoma hizo hapa chini bonyeza play kuzisikiliza.
No comments:
Post a Comment