06 July, 2015

Christiano Ronaldo, kawaacha waandishi wa habari kwenye mataa Baada yaku ulizwa swali lililo mkasirisha..(Video)

Mwanasoka bora wa dunia Cristiano Ronaldo ametoa kali  baada ya kuondoka katikati ya kipindi cha runinga wakati akihojiwa na Televisheni ya Sports News.
Kitendo cha mchezaji huyo kuondoka kulisababishwa na kuulizwa swali kuhusu mchezaji mwenzake beki Sergio Ramos. kama ataendelea kubaki Real Madrid au kujinga na Manchester United swali lililoonekana kumkera.akivuaRonaldo alijibu hajui lolote lakini gafla alitoa headphones shingoni na kumshukuru mtangazaji kisha kuondoka zake kabla kipindi hakijamalizika.

Usisumbuke Mawerenewz.blogspot.com ndio mtandao wako wakipekee unaokupa habari za BURUDANI,MICHEZO, SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na KITAIFA Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Mawere Mtoka Mbali, Instagram>>>mawere_mtoka_mbali,

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...