29 August, 2016
video mpya ya Chris Brown ‘Grass Ain’t Greener’
Chriss Brown anazidi kufanya poa katika game maana kila baada ya ngoma hutoa ngoma kali zaidi. Ni mida mchache tuu umepita baada ya kuchia Audio ya ngoma hii ‘Grass Ain’t Greener’, Chriss kaachia Video ya ngoma hii. Tizama hapo chini kisha washirikishe wana kitaaa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7
KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...
-
Mboga za majani na matunda zimekuwa zikisisitizwa kwa sana na wataalamu wa afya hasa kwa wanawake wajawaziti kwani zimekuwa zikiongeza Damu...
-
John ana mke ambaye haoni uzuri wa kitu chochote anachofanya, akifika tu nyumbani mke wake huanza kumlalamika kuwa hela anayoacha nyumba...
-
This is a song sang by a very gifted woman Adele, I sang it to show world that everyone appreciate and love to enjoy good music! Asa...
No comments:
Post a Comment